Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City yaanza kukusanya mataji

Man City Supers Man City yaanza kukusanya mataji

Thu, 17 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester City imetwaa kombe la UEFA Super Cup kufuatia ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Sevilla baada ya sare ya 1-1 kwenye muda wa kawaida wa mchezo katika dimba la Georgios Karaiskakis Piraeus Ugiriki.

FT: MAN CITY 1-1 ???????? SEVILLA (P 5-4)

⚽ Palmer 63

⚽ En-Nesyri 25'

MATUTA:

MAN CITY ✅✅✅✅✅

SEVILLA: ✅✅✅✅❌

Pep Guardiola na vijana wake wamekusanya kikombe cha nne ndani ya mwaka 2023.

✅ UEFA Super Cup

✅ UEFA Champions League

✅ Premier League

✅ FA Cup

Huu ni ubingwa wa kwanza wa UEFA Super Cup katika historia ya Manchester City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: