Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City washusha kipigo kizito kwa Chelsea Kombe la FA

City Beat Chelsea 4.jpeg Julian Alvarez akifunga mkwaju wa penati

Mon, 9 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Manchester City imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Chelsea Jumapili usiku Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Timu ya Manchester City imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Chelsea Jumapili usiku Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Mabao ya Manchester City yamefungwa na Riyad Mahrez mawili dakika za 23 na 85 kwa penalti, Julian Alvarez kwa penalti pia dakika ya 30 na Phil Foden dakika ya 38 The Blues wakiendelea kukutana na matokeo mabaya kutokana na kukabiliwa na idadi kubwa ya wachezaji majeruhi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live