Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City wana matumaini kwa Jude Belligham

Jude BbBb City wana matumaini kwa Jude Belligham

Mon, 27 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City bado ina matumaini makubwa ya kuipata huduma ya kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham licha ya staa huyo kuonyesha nia zaidi ya kutaka kujiunga na Real Madrid kuliko timu yoyote katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ataondoka Dortmund.

Manchester City bado ina matumaini makubwa ya kuipata huduma ya kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham licha ya staa huyo kuonyesha nia zaidi ya kutaka kujiunga na Real Madrid kuliko timu yoyote katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ataondoka Dortmund. Bellingham,19, ambaye mkataba wake wa sasa unamalizika 2025 awali alihusishwa kutaka kujiunga na Liverpool katika dirisha lijalo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live