Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City wamwekea Paqueta Mkataba wa miaka 6

Lucas Paqueta To City Kiungo Lucas Paquetá

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa West Ham Lucas Paqueta amekubali kusaini mkataba wa miaka 6 kujiunga na Man City,

Man City ilitoa ofa ya €85m pamoja na nyongeza ya €10m kama bonasi lakini West ham ilisisitiza kuwa inataka ada ya €110m bila kuwa na bonasi,

Man City inauhakika wa kumpata Paqueta kutokana na mchezaji kulazimisha kujiunga na klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live