Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City wamng'ang'ania Kyle Walker

Kyle Walker Anasepa Mlinzi wa Man City, Kyle Walker

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tayari Manchester City imemuwekea mezani ofa ya mkataba mpya beki wake, Kyle Walker ili kumzuia asijiunge na Bayern Munich katika dirisha hili.

Tayari Manchester City imemuwekea mezani ofa ya mkataba mpya beki wake, Kyle Walker ili kumzuia asijiunge na Bayern Munich katika dirisha hili. Walker alidaiwa kuwa kwenye mpango wa kutaka kuondoka kwani hana furaha kwenye kikosi cha kwanza cha Man City kutokana na kukosa nafasi kubwa ya kucheza mara kwa mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live