Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City wakutana na Rungu la FA, Haaland achomoka

Man City Refa Man City wakutana na Rungu la FA, Haaland achomoka

Tue, 5 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Man City wamepigwa faini ya pauni 75,000 kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wao baada ya kumzingira Simon Hooper juzi Jumapili katika mchezo dhidi ya Spurs.

Mchezo huo uliokuwa na ushindani wa kiwango cha Juu ulimalizika kwa sare ya magoli 3-3.

Hakuna adhabu kwa Mshambuliaji wa Man City, Erling Haaland alietoa maneno ya kumshambulia mwamuzi baada ya mchezo huo..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live