Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City waanza na moto Ligi ya Mabingwa Ulaya

Julian Alvarez Vs Red Star Straika wa Manchester City na Argentina Julian Alvarez aliifungia City mabao mawili

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Manchester City wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Red Star Belgrade ya Serbia katika mchezo wa Kundi G usiku wa jana Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Ni wageni, Red Star waliotangulia na bao la kiungo Mghana, Osman Bukari dakika ya 45, kabla ya mabingwa watetezi kuzinduka na mabao ya Julian Alvarez mawili dakika ya 47 na 60 na Rodri dakika ya 73.

Mechi nyingine ya Kundi hilo, RB Leipzig ya Ujerumani iliwachapa wenyeji, Young Boys mabao 3-0 Uwanja wa Wankdorf mjini Bern, Uswisi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live