Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City kuwafata Arsenal bila nyota hawa

Viungo Watatu Man City kuwafata Arsenal bila nyota hawa

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mara ya mwisho Manchester City kukutana na Arsenal waliibuka na ushindi wa goli 4-1 na katika kiungo cha City alikuwepo Rodri, Gundogan na De Bruyne.

Mara hii Manchester City anaenda kukutana na Arsenal bila nyota hawa watatu, unadhani Arsenal ataisumbua City ?.

Gundogan ametimkia Barcelona, Kelvin De Bruyne anauguza majeraha huku Rodri akiwa na adhabu ya kadi nyekundu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live