Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City kutumia nguvu ya pesa kumshawishi Hakimi?

Achraf Hakimi To Man City Achraf Hakimi

Mon, 26 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa Ulaya, Manchester City inataja kutoa kiasi kikubwa cha pesa ili kuipata huduma ya beki wa kulia wa Paris St-Germain, Achraf Hakimi, 24, katika dirisha hili.

Man City inataka kutoa kiasi hicho cha pesa ili kuliweka sawa eneo lao la beki wa kulia na Kayle Walker pia huenda akaondoka.

Mkataba wa staa huyu unatarajiwa kumalizika mwaka 2026 na amekuwa pia akihusishwa na timu kubwa barani Ulaya ikiwamo Manchester United na Real Madrid.

Wakala wa Hakimi amesema kuwa Mchezaji huyo hana mpango wa kuondoka Man City lakini pengine maboresho ya malipo yanaweza badili msimamo wa Staa huyo wa Morocco.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live