Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City kushusha kifaa kipya

Beki City Josko Gvardiol

Sat, 17 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester City wapo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mlinzi wa RB Leipzig, Josko Gvardiol.

Manchester City wapo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mlinzi wa RB Leipzig, Josko Gvardiol. City wanafanya makubaliano ya maslahi binafsi na Josko kwani RB Leipzig wapo tayari kumuuuza kwa timu yoyote itakayofikia kiasi wanachotaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live