Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City kumkosa Haaland dhidi ya Liverpool?

Haaland Dsmf Erling Haaland

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Manchester City Erling Braut Haaland hajaonekana kwenye mazoezi ya leo asubuhi kuelekea mechi ya EPL dhidi ya Liverpool siku ya Jumamosi.

Mshambuliaji wa Manchester City Erling Braut Haaland hajaonekana kwenye mazoezi ya leo asubuhi kuelekea mechi ya EPL dhidi ya Liverpool siku ya Jumamosi. Alijiondoa kwenye majukumu ya kimataifa akiwa na Norway baada ya kusumbuliwa na paja, na huenda akakosa mechi ya Man City dhidi ya Liverpool Jumamosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live