Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City hawatanii huko

Haaland Vs Young Boys Straika wa Man City, Erling Haaland

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa EPL na UEFA, Manchester City imeshinda mechi 23 mfululizo nyumbani mashindano yote msimu huu ikiwa ni mara ya pili ushindi mrefu kwenye historia ya timu iliyo miongoni mwa zile za juu EPL, baada ya Sunderland Disemba 1890 hadi Aprili 1892, ingawa ilikuwa kwa mechi 24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live