Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Man City, Arsenal hakuna mbabe Etihad

GettyImages 2127902308 Mchezo uliisha kwa sare ya bila kufungana

Mon, 1 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi, Manchester City wametoa ya bila mabao na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumapili Machi 31 Uwanja wa Etihad Jijini Manchester.

Mabingwa watetezi, Manchester City wametoa ya bila mabao na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana Jumapili Machi 31 Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Matokeo hayo yanaifanya Manchester City ifikishe pointi 64, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Arsenal na wote wakiwa nyuma ya Liverpool yenye pointi 67 kufuatia timu zote kucheza mechi 29.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live