Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi yapeleka Wachezaji 11 AFCON

Mamelodi(1).png Mamelodi yapeleka Wachezaji 11 AFCON

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mamelodi Sundowns imetoa wachezaji 11 kwa ajili ya kuwakilisha Mataifa yao kwenye michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 itakayoanza kurindima kuanzia Januari 13 mwaka huu Nchini Ivory Coast.

1. Ronny Williams

2. Khuliso Mudau

3. Terrence Mashego

4. Grant Kekana

5. Aubrey Modiba

6. Thapelo Morena

7. Teboho Mokoena

8. Mothobi Mvala

9. Peter Shalulile

10.Themba Zwane

11.Thapelo Maseko

Chanzo: www.tanzaniaweb.live