Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi yaomba sapoti ya Watanzania kwa Mkapa

Mashabiki Wa Mamelodi Fans Mamelodi yaomba sapoti ya Watanzania kwa Mkapa

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wa Mamelodi Sundowns Denis Onyango, Khuliso Mudau na Rivaldo Coetzee wamewaomba mashabiki wao ambao ni watanzania kujitokeza kwa wingi siku ya mechi yao dhidi ya Yanga ili kuwapa motisha kwenye mchezo huo.

Mudau “Tunawaomba Mashabiki wetu wa Tanzania waje kutupa sapoti dhidi ya Yanga ,sapoti yenu itatupa nguvu ya kupambana asante”

Rivaldo “Mashabiki wa Mamelodi ambao mpo Tanzania tunaomba mjitokeze kutupa sapoti tutakapocheza na Yanga hapo Tanzania “

Onyango “Mambo vipi watanzania ,tunashauku kubwa ya kukutana na mashabiki wetu tutakapocheza na Yanga kwenye mechi ya CAF champions league dhidi ya Yanga , tunaona comments na tweets zenu tukutane Tanzania.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live