Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wazindua jezi maalum za AFL

Mamelodi Afl Mamelodi wazindua jezi maalum za AFL

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeachia uzi ambao utatumika msimu huu kwenye mashindano ya African Football League.

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeachia uzi ambao utatumika msimu huu kwenye mashindano ya African Football League. Wataanza kutumia uzi huu kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza dhidi ya Petro Atletico De Luanda ya Angola Oktoba 21.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live