Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi watupwa nje Carling Cup

MS F Mamelodi watupwa nje Carling Cup

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamelodi Sundowns imesukumizwa nje ya michuano ya #CarlingKnockoutCup kufuatia kipigo cha penalti 5-4 dhidi ya TS Galaxy kwenye hatua ya 16 bora.

TS Galaxy wametinga hatua ya robo fainali baada ya kuiondosha Sundowns iliyokuwa pungufu ya mchezaji bora. Mchezo ulimalizika 2-2 mpaka muda wa ziada kabla ya matuta kuamua hatma ya Mamelodi Sundowns.

Sundowns wameondoshwa kwa matuta kwenye michuano ya pili mfululizo baada ya kipigo dhidi ya Orlando Pirates kwenye fainali ya MTN 8.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live