Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wanogewa na mahaba ya Watanzania

Mamelodi Sd At 14.jpeg Mamelodi wanogewa na mahaba ya Watanzania

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

“Mapenzi ambayo tumekuwa tukiyapata kutoka Tanzania yanavutia” sehemu ya maneno ya DJ Naves akimsimulia nyota wa soka wa Mamelodi Sundowns, Hlompho Alpheus Kekana kile ambacho wanakishuhudia kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kuelekea mechi yao ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga SC.

DJ Naves ametoa pongezi kwa wote wanaowaowaunga mkono Mamelodi ndani ya Tanzania na kuwataka kujitokeza wakiwa katika mavazi yao ya rangi ya njano, huku wakikumbushana ya kwamba na Yanga pia wanavaa jezi za njano.

Kipi unakishuhudia kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya Mamelodi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live