Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wanautaka ubingwa wa saba mfululizo

Mamelodi Sundowns Won South.jpeg Mamelodi wanautaka ubingwa wa saba mfululizo

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamelodi wameandika rekodi mpya kuwa klabu ya kwanza DSTV premiership kushinda mechi zote (9) za kwanza mfululizo.

Wamerejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu wakiwa na mechi (4) za kiporo !

1. Mechi 09 alama 27 — Mamelodi Sundowns

2. Mechi 13 alama 25 — Cape Town City

3. Mechi 13 alama 23 — Super sport

4. Mechi 13 alama 20 — Stellenbosch

Full — Super sport 0 - 2 Mamelodi

⚽️ Peter Shalulile — 31'

⚽️ Lucas Ribeiro Costa — 45+1

Mamelodi wanalisaka kombe lao la (7) mfululizo la ligi kuu ya Afrika Kusini :

2023 - 24⚠️

2022 - 23✅

2021 - 22✅

2020 - 21✅

2019 - 20✅

2018 - 19✅

2017 - 18✅

Mamelodi wameivunja rekodi iliyowekwa na Kaizer chiefs miaka ya nyuma ya kushinda mechi nane za kwanza mfululizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live