Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi walivyotoa darasa maalum kwa Yanga

Ahly Vs Mamelodi AFL Mamelodi walivyotoa darasa maalum kwa Yanga

Fri, 3 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Mamelodi Sundowns kumtwanga Al Ahly na kuingia hatua ya fainali ya michuano ya African Football League hii inaweza ikawa ni darasa la bure ambalo Yanga SC wamelipata la namna ya kumfunga Al Ahly kwani Wananchi wana kibarua cha kukutana nao kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Baada ya Mamelodi Sundowns kumtwanga Al Ahly na kuingia hatua ya fainali ya michuano ya African Football League hii inaweza ikawa ni darasa la bure ambalo Yanga SC wamelipata la namna ya kumfunga Al Ahly kwani Wananchi wana kibarua cha kukutana nao kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahly anajulikana kwa uimara wake wa kucheza hatua za Ligi ya Mabingwa hivyo Yanga kama watajipanga vizuri watakuwa na uhakika wa kupenya hatua ya Robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live