Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi waichapa Ahly, watanguliza mguu mmoja Fainali AFL

Mamelodi Vs Ahly 1 0 Mamelodi waichapa Ahly, watanguliza mguu mmoja Fainali AFL

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamelodi Sundowns imeingiza mguu mmoja kwenye fainali ya kombe la Afrika (AFL) kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika dimba la Loftus Versfeld, Pretoria Afrika Kusini katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali.

Bao pekee la Mamelodi katika mchezo wa leo limefungwa na Thapelo Maseko dakika ya 52'.

Mchezo wa marudiano katika dimba la Cairo siku ya Jumatano, Novemba 1, 2023 utaamua atakayekata tiketi ya fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live