Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wafuta viingilio wakiikabili Ahly Nusu Fainali AFL

Mamelodi Viingilio Mamelodi wafuta viingilio wakiikabili Ahly Nusu Fainali AFL

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imetangaza hatukakuwa na kiingilio kwenye mechi ya kwanza nusu fainali African Football League (AFL) wakiikabili Al Ahly ya Misri.

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imetangaza hatukakuwa na kiingilio kwenye mechi ya kwanza nusu fainali African Football League (AFL) wakiikabili Al Ahly ya Misri. Mechi hiyo itapigwa katika Uwanja wa Loftus Versfeld uliopo Pretoria Jumapili Oktoba 29 ambapo mashabiki watatakiwa kuvalia jezi rasmi za timu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live