Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wachapika Nusu Fainali CAF

Esperance Vs Mamelodi Mamelodi wachapika Nusu Fainali CAF

Sun, 21 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamelodi Sundowns imepoteza mchezo wa kwanza wa nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kufungwa bao 1-0 na Esprerance de Tunis, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi.

Bao la pekee la ushindi la Esperance limefungwa na Yan Sasse dakika ya 41 kipindi cha kwanza.

Mchezo wa pili utachezwa April 26, 2024 kwenye uwanja wa Loftus Versfeld, Pretoria ambapo Mamelodi itahitajika kupata ushindi wa kuanzia mabao mawili ili kufuzu hatua ya fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live