Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wabeba Ubingwa wa Sauzi kwa mara ya Saba mfululizo

IMG 7014.jpeg Mamelodi wabeba Ubingwa wa Sauzi kwa mara ya Saba mfululizo

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mara baada ya kuinyuka Kaizer Chiefs 5-1 kwenye mchezo wao wa raundi ya 24 wa ligi kuu nchini Afrika kusini, klabu ya Mamelodi Sundwons imetawazwa kuwa mabingwa kwa mara saba mfululizo wa ligi hiyo baada ya kufikisha alama 62 ambazo haziwezi kufikiwa na wapinzani wao Stellenbosch wenye alama 49 kwenye msimamo wa ligi hiyo.

Mara baada ya kuinyuka Kaizer Chiefs 5-1 kwenye mchezo wao wa raundi ya 24 wa ligi kuu nchini Afrika kusini, klabu ya Mamelodi Sundwons imetawazwa kuwa mabingwa kwa mara saba mfululizo wa ligi hiyo baada ya kufikisha alama 62 ambazo haziwezi kufikiwa na wapinzani wao Stellenbosch wenye alama 49 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Mamelodi ambao wametawazwa mabingwa wakiwa na mechi 6 mkononi mabao dhidi ya Kaizer yamefungwa na Matias Esquivel, Tashreeq Maetheews aliyefunga mawili, Lucas Ribeiro na Thembinkosi Lorch huku bao la pekee la Kaizer likifungwa na Mduduzi Shabalala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live