Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi wabeba Ubingwa African Football League

IMG 6269.jpeg Mabingwa wa Kombe la AFL

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa kombe la Afrika ‘AFL’ kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Wydad Casablanca kwenye fainali ya Mkondo wa pili leo Novemba 12

Fainali ya kwanza iliishuhudia Wydad ikishinda 2-1 nyumbani Mohamed V, Morocco kabla ya Sundowns kushinda 2-0 kwake Loftus Versfeld, Pretoria Afrika na kuandika historia kuwa klabu ya kwanza kutwaa kombe jipya la African Football League.

Kwa kujihakikishia Ubingwa Klabu ya Mamelodi itajinyakilulia kitita cha Dola za Kimarekani Milioni 4 kama zawadi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live