Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi vs Al Ahly; Vita ya wakubwa, Afrika itasimama

Mamelodi Vs Ahly October Mamelodi vs Al Ahly; Vita ya wakubwa, Afrika itasimama

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Ahly ikiifuata Mamelodi Sundowns leo, itasaka kulipa kisasi kufuatia kipigo cha 5-2 ilichokumbana nacho katika mchezo wa mwisho kucheza na Maswandana hapo Afrika Kusini.

Wakati huo, Mamelodi itasaka kutoa unyonhe wa kutolewa na Al Ahly mara mbili kwenye hatu ya robo fainali katika michuano ya CAF.

Hizi hapa rekodi za timu hizo zilipokutana (H2H) tangu 2019⤵️

Kukutana -10

Al Ahly: Wins - 2 Losses - 4 Draw - 3

Mamelodi Sundows: Wins - 4 Losses - 2 Draw - 3

Kwenye Group stage:

2022/23 CAF CL Group stage

1st leg: Al Ahly 2-2 Mamelodi 2nd leg: Mamelodi 5-2 Al Ahly

Kwenye knock out stage:

2018/19: CAF CL ¼ Final

1st leg: Mamelodi 5-0 Al Ahly

2nd leg: Al Ahly 1-0 Mamelodi

Agg: Al Ahly 1-5 Mamelodi

2019/20: CAF CL ¼ final

1st Leg: Al Ahly 2-0 Mamelodi

2nd Leg Mamelodi 1-1 Al Ahly

Agg: Mamelodi 1-3 Al Ahly

2020/21 CAF CL ¼ final

1st Leg: Al Ahly 2-0 Mamelodi

2nd Leg Mamelodi 1-1 Al Ahly

Agg: Mamelodi 1-3 Al Ahly

Mamelodi ametolewa mara mbili huku Al Ahly akitolewa mara moja hatua ya robo fainali CAFCL.

Mbabe kitakwimu kwenye knock out stage michuano ya CAF kati yao ni Al Ahly na inamfanya kuwa kikwazo kikubwa kwa Mamelodi ila kwa takwimu za kufungana Mamelodi hakamatiki.

Habari njema kwa Maswandana ni kurejea kwa utatu wake wa mbele; Lucas Ribeiro Costa, Peter Shalulile na Thapelo Morena ambao hawakuwepo kwenye michezo miwili ya AFLdhidi ya Petro Atletico kutokana na majeraha.

WAKUBWA AFRIKA WANAKUTANA NUSU FAINLI AFL, NANI KUIBUKA NA USHINDI?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live