Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi mabingwa kwa miaka 6 mfululizo

FwVJilVXwAE5ru3.jpeg Mamelodi mabingwa kwa miaka 6 mfululizo

Thu, 18 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamelodi Sundowns hapo jana walikabidhiwa Kombe lao mara baada ya kutwaa taji hilo Msimu wa 2022/23. Hii ni mara ya sita mfululizo kwa Klabu hiyo kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Afrika Kusini chini ya udhamini wa DSTV.

Mamelodi Sundowns hapo jana walikabidhiwa Kombe lao mara baada ya kutwaa taji hilo Msimu wa 2022/23. Hii ni mara ya sita mfululizo kwa Klabu hiyo kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Afrika Kusini chini ya udhamini wa DSTV. Ilianza chukuwa mataji ya ubingwa toka msimu wa 2017/19, 2018/19, 2019/20, 2020/21, 2021/22, na msimu huu wa 2022/23 imebeba tena taji hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live