Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi kuisuka upya safu yao ya ushambuliaji

KHANYISA MAYO.jpeg Khanyisa Mayo

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mamelod Sundowns wameanza harakati za kuiwania saini ya mshambuliaji wa klabu ya Cape Town city inayoshiriki ligi kuu Afrika ya kusini Khanyisa Mayo.

Klabu ya Mamelod Sundowns wameanza harakati za kuiwania saini ya mshambuliaji wa klabu ya Cape Town city inayoshiriki ligi kuu Afrika ya kusini Khanyisa Mayo. Mayo amekua katika kiwango Bora Sana msimu uliopita akifunga mabao 16 na mamelodi wanaamini kuwa atakuwa msaada kwao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live