Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi kuanzia ugenini Fainali AFL

Mamelodi Vs Wydad Mamelodi kuanzia ugenini Fainali AFL

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fainali ya michuano ya African Football League itafanyika tarehe 5/11/23 katika jiji la Casablanca, wakati mchezo wa marudio wa fainali hiyo utafanyika kule Afrika ya kusini mnamo November 11, 2023 Mamelod akimalizia shughuli nyumbani.

Fainali ya michuano ya African Football League itafanyika tarehe 5/11/23 katika jiji la Casablanca, wakati mchezo wa marudio wa fainali hiyo utafanyika kule Afrika ya kusini mnamo November 11, 2023 Mamelod akimalizia shughuli nyumbani. Mamelodi wametinga hatua ya Fainali baada ya kuwaondoa Vigogo Al Ahly huku Wydad wao wakiwatoa Esperance De Tunis.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live