Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi hawajafungwa kwao miaka 3

Yangaaaa X Mamelodi Yanga vs Mamelodi

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wababe wa Soka la Afrika Kusini Mamelodi Sundowns 'Masandawana' imepita miaka 3 haijafungwa katika uwanja wao nyumbani.

Mara ya mwisho Mamelodi kufungwa nyumbani katika Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL ilikuwa ni dhidi ya CR Belouzdad Aprili 9, 2021.

Yanga pia wanayo rekodi ya kushinda ugenini kwenye michuano ya kimataifa, walishinda Tunisia mbele Club Africain, nchini Congo DR mbele ya TP Mazembe, nchini Nigeria mbele ya Rivers United, Afrika Kusini mbele ya Marumo Gallants, Algeria mbele ya USM Alger, Rwanda mbele ya Al Merrikh na mbele ya Asas ya Djibouti.

YANGA HUU MLIMA MWEPESI AMA?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live