Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mamelodi: Haikuwa bahati yetu

Roland Mokwena Kocha Mokwena

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Mamelodi Sundowns Rhulani Mokwena amesema licha ya kupoteza taji la MTN8 anajivunia kuwafundisha vijana ambao ni washindani.

Mokwena anasema haikuwa bahati yao Kwa sababu waliukamata mchezo. Sundowns ilifungwa na Orlando Pirates Kwa changamoto ya Mikwaju ya penalty 3-1 pale Moses Mabhida Stadium juzi usiku .

Mamelodi Orlando ilitawala mchezo Kwa dakika zote 120 ila walishindwa kupenya Ngome imara ya Sundowns ambayo ilikuwa na Mdaka Moto Sipho Chaine.

Mokwena amesema wamesahau Hilo na sasa focus yao ni Katika michuano mingine ambayo wanashiriki. Sundowns kwenye penati mara nyingi wamekuwa wakifungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live