Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mama wa Aziz Ki atua Chamazi kushuhudia mwanaye akiwaua Tabora

Aziz Ki Mama M Mama wa Aziz Ki atua Chamazi kushuhudia mwanaye akiwaua Tabora

Thu, 2 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mzazi wa nyota wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki jana ameshuhudia kijana wake akifunga goli kwenye mchezo Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Tabora United katika Uwanja wa Chamazi..

Mama mzazi wa nyota wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki jana ameshuhudia kijana wake akifunga goli kwenye mchezo Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Tabora United katika Uwanja wa Chamazi.. Uwepo wake unahusishwa na suala zima la kuongeza kandarasi kwa Aziz Ki ndani ya Yanga kwani mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live