Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makundi Kombe la Mapinduzi haya hapa

Simba Vs Yanga Makundi Kombe la Mapinduzi haya hapa

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Simba SC wamepangwa Kundi C pamoja na Mlandege na KVZ michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi January 01 hadi 13, 2023.

Kwa upande wao, Yanga SC wao wamepangwa Kundi B pamoja na Singida Big Stars na wenyeji, KMKM ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kama ilivyo kwa Yanga kwa Tanzania Bara.

Kundi A linaundwa na Azam FC, wenyeji, Malindi SC na Jamhuri FC ya Pemba, huku Kundi D likiwa na Namungo FC, Aigle Noir ya Burundi na Chipukizi ya Pemba.

Group A 1:Azam FC 2:Jamhuri FC 3:Malindi SC

Group B 1:Yanga SC 2:KMKM 3:Singida Big Stars

Group C 1:Simba SC 2:KVZ 3:Mlandege

Group D 1:Namungo FC 2:Aigle Noir 3:Chipukizi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live