Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda akabidhi ng’ombe watano kwa Yanga

Ngombe Makonda Yanga Makonda akabidhi ng’ombe watano kwa Yanga

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi na Uenezi Comrade Paul Makonda leo ametimiza ahadi yake ya kuwapa ng’ombe watano Yanga SC baada ya kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Simba SC, Nov 05.

Ng’ombe hao walipakizwa katika gari maalum na walitokea Lumumba Jijini Dar es Salaam zilizoko Ofisi za chama hicho na kupelekwa Jangwani yaliko Makao Makuu ya Yanga SC.

Ng’ombe hao wamekabidhiwa Yanga SC na wasaidizi wa Makonda walioko ofisini hapo Lumumba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live