Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makinda Man United kuitwa England

GettyImages 1978884564 Scaled Makinda Man United kuitwa England

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wawili wa klabu ya Manchester United Forson na Kobbie Maino wanaweza kujumuishwa kwenye kikosi cha England na kocha Southgate licha ya shirikisho la soka nchini Ghana kuanza harakati za kuhakikisha wanaitumikia timu ya Taifa ya Ghana.

Nyota wawili wa klabu ya Manchester United Forson na Kobbie Maino wanaweza kujumuishwa kwenye kikosi cha England na kocha Southgate licha ya shirikisho la soka nchini Ghana kuanza harakati za kuhakikisha wanaitumikia timu ya Taifa ya Ghana. Nyota hao wawili walikuwa sehemu ya mchezo wa wikiendi wakati Manchester United inapoteza kwa goli 2-1 dhidi ya Fulham.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live