Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majogoro: Mapambano yako leo yatabadilisha maisha yako baadae

Majogoro Mc.jpeg Majogoro

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Tanzania, Baraka Gamba Majogoro anayekipiga Chippa United ya nchini Afrika Kusini anasema katika maisha usiwe mtu wa kukata tamaa.

"No matter how much it hurts now, someday you will look back and realize your struggles changed your life for the better...Believe and keep fighting for what you believe in."

"Haijalishi ni uchungu kiasi gani sasa, ipo siku utaangalia nyuma na kutambua mapambano yako yalibadilisha maisha yako kuwa bora...Amini na endelea kupigania kile unachokiamini," amesema Majogoro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live