Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majeraha ya Camavinga yazusha hofu Real Madrid

Camavinga Eduardo Camavinga

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa ripoti kiungo wa Real Madrid na Ufaransa Eduardo Camavinga amepata Jeraha la goti akiwa kwenye Majukumu ya taifa na kufanya kukosa muda wote uliosalia 2023.

Taarifa kuhusu majeraha zilitoka jana hivyo ilihitajika kufanyiwa uchunguzi ili kufahamu ukubwa wa jeraha na imebainikia rasmi hatutakuwa nae mwaka huu hadi mwakani.

Tukutane mwezi january Camavinga

Chanzo: www.tanzaniaweb.live