Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majembe yatakayomrithi Lomalisa yako fiti

Lomalisa Control Majembe yatakayomrithi Lomalisa yako fiti

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond Desemba 8 ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Medeama ya Ghana.

Ni Joyce Lomalisa huenda akakosekana baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly.

Gamondi ameweka wazi kuwa kuna nyota wawili ambao watabeba mikoba yake ambao ni Kibwana Shomari ama Nickson Kibabage.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live