Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majembe haya yanakuja Simba, Yanga

Hersi Msuvaaa2 Facebook Majembe haya yanakuja Simba, Yanga

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usajili wa dirisha dogo unaendelea ambapo kila timu ipo sokoni kusaka wachezaji ambao inawahitaji kumalizana nao kwa ajili ya kuwa ndani ya timu kwa msimu wa 2023/24 ambao una ushindani mkali.

Usajili wa dirisha dogo unaendelea ambapo kila timu ipo sokoni kusaka wachezaji ambao inawahitaji kumalizana nao kwa ajili ya kuwa ndani ya timu kwa msimu wa 2023/24 ambao una ushindani mkali. Kama mambo yatakuwa sawa miongoni mwa nyota wanaotajwa kuibukia mitaa ya Kariakoo ni pamoja na Simon Msuva, Edwin Balua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live