Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga yaanza Chelsea, Nkunku nje wiki 16

Skysports Christopher Nkuku 6238822 Majanga yaanza Chelsea, Nkunku nje wiki 16

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Christopher Nkunku amepata jeraha la katika goti lake ambalo litamfanya kuwa nje kwa muda mrefu.

Nkunku alipata jeraha hilo kwenye mechi ya kirafiki dhidi na ya Borussia Dortmund, baada ya kufanyiwa upasuaji inadaiwa huwa nje ya dimba kwa wiki takriban 16.

Chelsea wataanza msimu wa 2023-24 kwa kucheza na Liverpool siku ya Jumapili

Chanzo: www.tanzaniaweb.live