Fri, 8 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Imeripotiwa kuwa kiungo wa klabu ya Chelsea Romeo Lavia amepata jeraha la kifundo cha mguu wakati akiwa mazoezini Chelsea.
Lavia anapata jeraha hilo ikiwa tangu asajiliwe na kikosi hicho bado hajapata nafasi ya kuichezea klabu hiyo japo hata kwa dakika moja.
Tetesi zinaeleza kuwa jeraha hilo linaweza likamuweka nje ya uwanja kwa kipindi cha msimu mzima.
Je, unahisi ni nini kinawakumba Chelsea?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live