Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga! Straika Azam FC nje msimu mzima

Diao Surgery Mshambuliaji wa Azam Alassane Diao

Thu, 14 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa mshambuliaji wa Azam FC, Raia wa Senegal Alassane Diao atakaa nje ya dimba kwa takribani miezi 7 hadi 9 mara baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti jana Jumatano katika Hospitali ya Vincent Palloti, jijini Cape Town, Afrika Kusini kufuatia majeraha yake ya ACL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live