Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga Man United! Mount nje kwa mara nyingine

Mason Mount Injury.jpeg Mason Mount

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Machester United Erik ten Hag amethibitisha kuwa kiungo wao Mason Mount Amepata jeraha na ataukosa mchezo wa wikiendi dhidi ya Arsenal.

Kocha mkuu wa Machester United Erik ten Hag amethibitisha kuwa kiungo wao Mason Mount Amepata jeraha na ataukosa mchezo wa wikiendi dhidi ya Arsenal. Mpaka sasa msimu huu ameshakosa jumla ya michezo 28 kutokana na Majeraha yanayo muandama mara kwa mara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live