Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga Man City, Foden afanyiwa upasuaji

Phil Foden Surgery Phil Foden

Tue, 28 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Phil Foden ataukosa mchezo wa Ligi Kuu England dhidi Manchester City itakapomenyana na Liverpool Jumapili ijayo baada ya kufanyiwa upasuaji wa kidole tumbo.

Kwa mujibu wa ripoti Foden atakuwa nje ya dimba kwa muda wa wiki nne kufuatia upasuaji huo na atakosa mechi nyingine za ligi zinazofuata.

Pia, winga huyo huenda akaukosa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, mechi za robo fainali zitachezwa kuanzia Aprili 11 na 19.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: