Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga Man City, Ederson kuwakosa Arsenal

SEI195408084f Majanga Man City, Ederson kuwakosa Arsenal

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa klabu ya Manchester City, Ederson ameondolewa kikosi kitakacho pambana na Arsenal katika mchezo wa ligi kuu,

Ederson atakosekana Kutokana na maumivu aliyoyapata kwenye mchezo wa Jana dhidi ya Liverpool katika muendelezo wa ligi kuu nchini Uingereza,

Taarifa Kutoka Kwa madaktari wa timu ya Man City wamethibitisha kuwa Ederson Atakuwa nje ya Uwanja kwa muda wa mwezi mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live