Tue, 28 Feb 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa mlinzi Thiago Silva (38) amepata jeraha la goti atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki 5-6. Silva alipata jeraha hilo katika kipigo cha Chelsea cha bao 2-0.
Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa mlinzi Thiago Silva (38) amepata jeraha la goti atakuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki 5-6. Silva alipata jeraha hilo katika kipigo cha Chelsea cha bao 2-0. “Thiago Silva amepata jeraha la goti, amefanyiwa tathmini na uchunguzi umethibitisha kuwa ameumia kwenye kano ya goti” imesema taarifa rasmi ya klabu hiyo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live