Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga Al Nasst, Talisca nje msimu mzima

Anderson Al Nassr Anderson Talisca

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa mbaya kwa mashabiki na wapenzi wa Klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi kuu nchini Saudi Arabia, ni kwamba klabu hiyo imethibitisha kuwa mchezaji wao Anderson Talisca raia wa Brazil atakuwa nje ya uwanja hadi mwisho wa msimu kufuatia jeraha baya alilolipata.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live