Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Majanga Al Ahly, Maaloul kuwakosa Esperance Fainali CAF

Ali Maaloul Injury.jpeg Beki wa Al Ahly, Ali Maâloul

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al Ahly wamethibisha kuwa beki wao wa kushoto Ali Maâloul amefanyiwa upasuaji wa jeraha la misuli ya nyama za paja.

Maâloul atapumzika kwa wiki mbili kwanza kabla ya kuanza mazoezini mepesi.

Kwa bahati mbaya, atakosa mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajiwa kupigwa Misri dhidi ya Espérance Tunis wikendi hii.

Maâloul ana umri wa miaka 34' ameitumikia Al Ahly tangu mwaka 2016 akitokea CS Sfaxien ya Tunisia,, Maâloul amefunga magoli 50 katika mechi zake 270 ndani ya Al Ahly.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live