Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maino aibuka nyota wa mchezo Timu ya Taifa

Maino Aibuka Mchezaji Bora Timu Ya Taifa.png Maino aibuka nyota wa mchezo Timu ya Taifa

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, Kobbie Mainoo amebuka kuwa nyota wa mchezo siku ya jana katika ‘timu’ yake ya Taifa England baada ya kucheza dakika 74 akionesha ubora wake kwa mara ya kwanza katika ‘timu’ hiyo.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 18 pamoja na kutofunga bao aliweza kuibuka ‘Man of the match’ kwenye kikosi hicho kilichokuwa na nyota kadhaa kama vile Jude Bellingham, Declan Rice na Phil Foden.

Hata hivyo ‘mechi’ hiyo kati ya #England dhidi ya #Ubelgiji ilitamatika kwa sare ya mabao 2-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live