Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mahrez atundika daluga Timu ya Taifa

Mahrez Astaafu.jpeg Riyard Mahrez

Wed, 24 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Algeria Riyad Mahrez amestaafu kuitumikia timu yake ya Taifa ya Algeria.

Nahodha wa Timu ya Taifa ya Algeria Riyad Mahrez amestaafu kuitumikia timu yake ya Taifa ya Algeria. Tamko hilo linakuja saa chache baada ya Timu ya Algeria kutolewa katika michuano ya AFCON 2023 inayoendelea nchini Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live